Ingia
Menu
Login
Sign Up
Nyumbani
Cheza
Historia ya Michezo
Orodha ya Ubora
Mashindano
Fumbo
Tazama
Jamii
Jifunze
Msaada
Sheria za Mchezo
Masharti ya Huduma
Sera ya Faragha
Language
SW
TzDraft
Kiwango Rasmi
TZD-8x8-v1
Sheria na
Viwango
Imesasisishwa: Februari 2026
Sheria za Kawaida
Sheria za Mashindano
01.
Ubao na Mpangilio
Board size: 8 × 8, dark squares only | Ukubwa wa ubao: 8 × 8, sanduku nyeusi pekee
Each player starts with 12 pieces | Kila mchezaji anaanza na kete 12
White moves first | Nyeupe huanza kwanza
Coordinates: A–H files, 1–8 ranks | Vishiria: A–H kwa safu, 1–8 kwa mistari
02.
Mwendo na Kupandishwa
Kete za Kawaida
Move one square diagonally forward | Husonga sanduku moja mbele kwa ulalo
Cannot move backward | Haziruhusiwi kurudi nyuma
Promote on reaching the opponent’s back rank | Hupandishwa (Kingi) ukifikia mwisho wa adui
Kingi
Flying kings: move diagonally any number of squares | Kingi huruka: husonga kwa ulalo umbali wowote
Capture diagonally forward and backward over distance | Hula mbele au nyuma kwa ulalo kwa umbali
03.
Ula Lazima
Capturing is mandatory when any capture exists | Ula ni lazima ikiwa kuna nafasi ya kula
Any capture route is allowed (no max-capture requirement) | Njia yoyote ya kula inaruhusiwa
Multi-captures are allowed when available | Mnyororo wa kula unaruhusiwa ukipatikana
Capture path defines which pieces are removed | Njia ya kula inaamua kete zipi zinaondolewa
04.
Sheria za Mwisho wa Mchezo
Time loss is a draw in 3 vs 1 material | Muda ukimalizika ni sare kwa 3 dhidi ya 1
Automatic 12-move countdown for 1 king vs 3 kings | Hesabu ya hatua 12 kwa 1 kingi dhidi ya 3 kingi
The 3-king side must win before move 13 or it’s a draw | Upande wa kingi 3 lazima ushinde kabla ya hatua ya 13
No special rule for 1 vs 4 material | Hakuna sheria maalum kwa 1 dhidi ya 4
05.
Masharti ya Ushindi
Opponent has no remaining pieces | Mpinzani hana kete
Opponent has no legal moves | Mpinzani hana hatua halali
Opponent resigns | Mpinzani amejisalimisha
Time wins (except draw rules above) | Ushindi kwa muda